Pages

Saturday, February 1, 2014

BEYONCE AMTIMUA KAZI MENEJA WAKE SASA KUSAIDIANA NA MUMEWE JAY-Z


Beyonce na mumewe Jay-Z
Mwanamuziki Beyonce anadaiwa kumtimua kazi meneja wake wa Live Nation Executive, Faisal Durrani, ili aweze kujiongoza mwenyewe akisaidiwa na mumewe Jay-Z.

Durani anaingia kwenye orodha ya mameneja kadhaa waliotoswa na Beyonce, katika kipindi cha miaka mitatu iliyopita.

Beyonce akiwa na meneja wake wa zamani ambaye pia ni Baba yake mzazi Matthew Knowles

No comments:

Post a Comment