Pages

Tuesday, January 7, 2014

ONYO LATOLEWA AFYA YA SCHUMACHER

Michael Schumacher wa F1
Meneja wa bingwa mara saba wa mashindano ya
magari ya langalanga ya F1, Michael Schumacher, ameonya dhidi ya taarifa za upotoshaji zinazotolewa na baadhi ya watu kuhusu afya ya mwanamichezo huyo. Onyo hili limekuja baada ya mtu mmoja kukaririwa akisema maisha ya Schumacher hayako hatarini.
Schumacher bado yuko katika hali "mahututi japo imara" katika hospitali huko Grenoble nchini Ufaransa baada ya ajali ya kuanguka na kupigiza kichwa kwenye mwamba wakati akiteleza katika theluji ya milima ya Alps.

Taarifa kutoka kwa meneja Sabine Kehm imesema taarifa zote ambazo hazitolewi na mameneja au madaktari, lazima zichukuliwe kama "uzushi mtupu".
Taarifa hiyo pia imekanusha ripoti ya kutokabidhiwa kwa hiyari, Camera iliyokuwa imefungwa katika kofia ngumu "helmet" ya Schumacher wakati wa kuteleza, kuwa hazina ukweli.
Michael Schumacher poses with his wife Corinna, in the winter resort of Madonna di Campiglio, in the Dolomites area, Northern ItalyFerrari fans gather outside the University Hospital in Grenoble to mark the 45th birthday of racing driver Michael Schumacher
Ferrari fans gather outside the University Hospital in Grenoble to mark the 45th birthday of racing driver Michael Schumacher
Michael Schumacher Remains Critically Ill After Skiing AccidentFans of German Formula One world champion Michael Schumacher display a giant F1 Ferrari team bannerAn helicopter stands outside the CHU Nord hospital in Grenoble, French Alps, where retired seven-times Formula One world champion Michael Schumacher is reported to be hospitalizedThe Ski Resort Of Meribel,France,Where Michael Schumacher Was Injured In A Skiing Accident

No comments:

Post a Comment