Giggs akijifunga bao na kuwapa Zawadi Sunderland kwa kuonngoza bao 1-0 katika kipindi cha kwanza mwishoni.
Dakika za nyongeza za kipindi cha kwanza 45+2 Giggs anafanya makosa anajifunga bao, Sunderland wanaenda mapumziko wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi ya Manchester United. Kipindi cha pili dakika ya 52 Nemanja Vidic anawasawazishia bao United kwa kufanya 1-1 baada ya kona kupigwa na Vidic kujituma kwa kufunga bao la kichwa. Dakika ya 65 United wanafungwa goli la pili kwa mkwaju wa penati wa utata na kufanya bao kuwa 2-1. mfungaji wa penati hiyo akiwa ni Fabio Borini. Ushindi huu wa Sunderland unawaweka pazuri wakija kurudiana huko Old Trafford mwezi huu januari siku ya jumatano tarehe 22.
Nemanja Vidic akisawazisha bao na kufanya 1-1 hapa
Nemanja Vidic akishangilia bao lake
Jonny Evans kwenye patashika kuusaka mpira
Rafael akienda chini baada ya patashika na Fabio Borini
Steven Fletcher alishindwa kumbana
Bryan Robson, Alex Ferguson na Bobby Charlton wakiuangalia mchezo Sunderland v United
VIKOSI:
Sunderland: Mannone, Bardsley, O'Shea, Brown, Alonso, Larsson, Cattermole, Ki, Borini, Fletcher (Altidore 72), Giaccherini (Johnson 56).
Subs: Gardner, Celustka, Colback, Ji, Dixon.
Booked: Bardsley, Giaccherini, Altidore.
Goal: Giggs, 45+2og, Borini 65pen
Man United: De Gea, Rafael Da Silva, Vidic, Evans (Smalling 61), Evra, Carrick, Cleverley (Fletcher 75), Valencia (Hernandez 87), Giggs, Januzaj, Welbeck.
Subs: Lindegaard, Kagawa, Buttner, Zaha.
Booked: Evra, Rafael, Smalling.
Goal: Vidic 52.
Referee: Andre Marriner
CAPITAL ONE CUP
NUSU FAINALI
[Saa 4 Dakika 45 Usiku]
Jumanne Januari 7
Sunderland 2 v Manchester United 1
Jumatano Januari 8
Manchester City v West Ham United
Marudiano
Jumanne Januari 21
West Ham United v Manchester City
Jumatano Januari 22
Manchester United v Sunderland
No comments:
Post a Comment