MABONDIA WA KIKE WAONYESHA UWEZO WAO ULINGONI
| Bondia Halima Ramadhani akitafuta njia ya kumpiga mwenzie ngumi Zulfa Macho wakati wa mpambano wao jana |
| Bondia Zulfa macho akimpiga mpinzani wake Halima Ramadhani ngumi ya kolomelo wakati wa mchezo wao uliofanyika Dar es salaam jana macho alishinda kwa pointi |
| Bondia Idd Athumani akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Shabani Madilu wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Athumani alishinda kwa pointi |
Post a Comment