Pages

Friday, January 24, 2014

JOHNNIE WALKER YAFANIKISHA IRELAND SOCIETY OF TANZANIA GOLF CHAMPIONSHIP


Katka picha ya pamoja Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon(kushoto)pamoja na mwandaaji wa mashindano ya Ireland Society of Tanzania GolfChampionship(kulia)

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Steve Gannon(kulia) akikabidhi Kombe kwa wachezaji wa timu ya Zimbabwe ambao waliibuka washindi katika mashindano hayo mwishoni mwa wiki.

Stuart Read akifanya yake ndani ya kiwanja namba moja katika mashindano ya Ireland Society of Tanzania Golf Championship

Mchezaji William Creighton mwenye asili ya Uingereza akipiga mpira wa golf katika mashindano Ireland Society of Tanzania Golf Championship ambayo yalidhaminiwa na Kampuni ya Bia ya
Serengeti kupitia kinywaji cha Johnnie Walker katika viwanja vya golf Lugalo jijini Dar es Salaam.

Mara baada ya kazi nzito ya kucheza golf wachezaji walipata muda wakupongezana.
You migh

No comments:

Post a Comment