Steven Gerrard
53'
PEN Daniel Sturridge
45'
+2'
Andreas Weimann
25'
•
Christian Benteke
36
LIVERPOOL leo wametoka nyuma ya bao 2-0 na kusawazisha bao zote mbili katika kipindi cha kwanza na cha pili. Kipindi cha kwanza dakika za majeruhi dakika ya 45+ 2, Daniel Sturridge ameifungia bao na kwenda mapumziko zikiwa 2-1.
Dakika ya 53 kipindi cha pili liverpool wamepata bahati baada ya Suarez kujiangusha kwenye box na hatimaye Mwamuzi J. Moss kudai ni penati na mkwaju huo wa penati umefungwa na kapteni wa Liverpool Steven Gerrard. Sare hii inawabakisha hapo hapo katika nafasi ya nne Liverpool wakisubiri mtanange wa kesho kutwa jumatatu wa West Brom na Everton matokeo yake. Kama Everton watashinda watawaondoa katika nafasi hiyo ya nne.
Raheem Sterling akimvuta jezi mchezaji wa Villa Fabian
MATOKEO YA MITANANGE YA LEO JUMAMOSI:
Jumamosi Januari 18
Sunderland 2 v Southampton 2
Arsenal 2 v Fulham 0
Crystal Palace 1 v Stoke 0
Man City 4 v Cardiff 2
Norwich 1 v Hull City 0
West Ham 1 v Newcastle 3
Liverpool 2 v Aston Villa 2
No comments:
Post a Comment