Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Jamal
Malinzi (wa pili toka kulia) akimkabidhi Mkurugenzi wa Vyama wanachama na
masuala ya kisheria, Evodius Mtawala nakala ya ilani yake ya uchaguzi wakati
akimtambulisha kwa waandishi wa habari leo. Wa pili toka kushoto ni Katibu
Mkuu wa TFF Selestin Mwesigwa na wa kwanza kushoto ni Afisa Habari waTFF, Bonoface Wambura
Add caption
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) Jamal
Malinzi (kulia) akimkabidhi Katibu Mkuu wa TFF, Selestin Mwesigwa nakala ya ilani yake ya
uchaguzi wakati akimtambulisha kwa waandishi wa habari leo
No comments:
Post a Comment