Pages

Wednesday, November 6, 2013

UEFA CHAMPIONS LEAGUE:REAL SOCIEDAD YATOKA SARE NA MANCHESTER UNITED 0-0, FELLAINI ALAMBISHWA "RED CARD" VAN PERSIE AKOSA PENATI

Golden opportunity: Robin van Persie misses a second-half penalty for Manchester United
Man United walikosa kufunga kwa Penati iliyopigwa na Robin van Persie na kupiga Posti na pia Kiungo wao Marouane Fellaini kutolewa nje kwa Kadi Nyekundu baada kupata Kadi za Njano mbili.
Shocker: Javier Hernandez fired over the bar from just yards out when he should have scored
Javier Hernandez akikosa bao la wazi hapa kwa kupaisha mpira juu ya lango
You're off: The referee gives Marouane Fellaini a red card after a late foul
Nje!!! Refa akimtoa kwa kadi nyekundu Marouane Fellaini mwishoni mwa mechi hiyo.
Down he goes: Ashley Young went down under the slightest touch from the Sociedad player
Ashley Young nae alifanya majanga ya kujiangusha ndani box refa hakuona akatoa penati ambayo Van Persie aliikosa.
Slippery surface Ashley? The United winger has a history of diving and Sociedad raged at the penalty call
Angalia ujanja wa Ashley!!
Mchezaji wa Manchester United Antonio Valencia akiendesha mpira huku mchezaji wa Real Sociedad David Zurutuza akiwa amemnyemelea kwa karibu kipindi cha kwanza.
Kagawa kwenye patashika kuutafuta mpira!
VIKOSI:

Real Sociedad: Bravo 6, Carlos Martinez 7, Mikel Gonzalez 6, Inigo Martinez 6, De la Bella 6, Pardo 6 (Prieto 72 6), Markel 6, Zurutuza 7, Vela 6, Agirretxe 5 (Castro 64 6), Griezmann 5 (Seferovic 80).
Subs Not Used: Zubikarai, Elustondo, Ansotegui, Cadamuro.
Booked: Markel.
Man Utd: De Gea 6, Smalling 6, Ferdinand 6, Vidic 7, Evra 6, Valencia 5, Fellaini 5, Giggs 6, Kagawa 5 (Jones 90), Rooney 6 (Van Persie 63 6), Hernandez 5 (Young 64).
Subs Not Used: Lindegaard, Anderson, Nani, Buttner.
Sent Off: Fellaini.
Booked: Fellaini,Evra.
Att: 28,000
Ref: Nicola Rizzoli (Italy).


RATIBA/MATOKEO
Jumanne 5 Nov 2013 
FC Shakhtar Donetsk 0 v Bayer 04 Leverkusen 0
Real Sociedad 0 v Manchester United 0
Juventus 2 v Real Madrid 2
FC København 1 v Galatasaray 0
Paris Saint-Germain 1 v RSC Anderlecht 1
Olympiacos 1 v SL Benfica 0
Manchester City 5 v  CSKA Moscow 2
FC Viktoria Plzeň 0 v FC Bayern München 1



MSIMAMO:

KUNDI A
NATIMUPWDLFAGDPTS
1Manchester United42206338
2Bayer 04 Leverkusen42118537
3FC Shakhtar Donetsk412135-25
4Real Sociedad401315-41
KUNDI B
NATIMUPWDLFAGDPTS
1Real Madrid CF43101441010
2Galatasaray Spor Kulübü4112610-44
3FC Copenhagen411238-54
4Juventus403167-13
KUNDI C
NATIMUPWDLFAGDPTS
1Paris Saint-Germain43101321110
2Olympiacos CFP42116517
3Benfica411235-24
4RSC Anderlecht4013111-101
KUNDI D
NATIMUPWDLFAGDPTS
1Bayern Munich44001211112
2Manchester City430111659
3CSKA Moskva4102612-63
4FC Viktoria Plzen4004312-90
KUNDI E
NATIMUPWDLFAGDPTS
1Chelsea FC32018246
2Schalke32014336
3FC Basel 189331113304
4FC Steaua Bucuresti301218-71
KUNDI F
NATIMUPWDLFAGDPTS
1BV Borussia Dortmund32016336
2Arsenal32015326
3Napoli32014406
4Olympique de Marseille300327-50
KUNDI G
NATIMUPWDLFAGDPTS
1Atletico de Madrid33008269
2Zenit St. Petersburg311123-14
3FC Porto310223-13
4FK Austria Wien301204-41
KUNDI H
NATIMUPWDLFAGDPTS
1FC Barcelona32106157
2AC Milan31204225
3Celtic310224-23
4Ajax Amsterdam301227-51
You might also like:

No comments:

Post a Comment