Mchezaji Tom Cleverley akimwekea sahihi shabiki kwenye uwanja wa ndege wa Manchester muda mfupi kabla ya kuelekea Spain.
Manchester United, ambao leo Jumanne Usiku wako Ugenini huko Spain, watapiga hatua kubwa kufuzu ikiwa wataifunga Real Sociedad Timu ambayo kwenye Kundi A imefungwa Mechi zao zote 3. Hata hivyo kwenye msimamo huo wanafuatiwa na timu mbili na zote zinalingana pointi Bayer 04 Leverkusen ni ya pili ina pointi 4 na Shakhtar Donetsk ina 4.
Kwenye mazoezi Wayne Rooney na Shinji Kagawa wakioneshana mbwembwe zao
Robin van Persiekwenye kikosi kilichoenda kucheza na Real Sociedad leo nae yumo.
Kagawa na wenzake walifanya mazoezi uwanjani Carringtonkabla ya kuelekea Spain kuumana na Real Sociedad.
Rooney ndani ya kikosi.
Wachezaji wa United wakifanya mazoezi.
Adnan Januzaj aliyekanyagwa na mchezaji wa Fulham Sacha Riether
RATIBA ZA UEFA LEO JUMANNE:
MSIMAMO KUNDI A:
KUNDI A | |||||||||
NA | TIMU | P | W | D | L | F | A | GD | PTS |
1 | Manchester United | 3 | 2 | 1 | 0 | 6 | 3 | 3 | 7 |
2 | Bayer 04 Leverkusen | 3 | 2 | 0 | 1 | 8 | 5 | 3 | 4 |
3 | FC Shakhtar Donetsk | 3 | 1 | 1 | 1 | 3 | 5 | -2 | 4 |
4 | Real Sociedad | 3 | 0 | 0 | 3 | 1 | 5 | -4 | 0 |
RATIBA ZA UEFA LEO JUMANNE:
MECHI ZA 4 ZA MAKUNDI
Jumanne 5 Nov 2013
[Mechi zote Saa 4 Dakika 45 Usiku]
FC Shakhtar Donetsk v Bayer 04 Leverkusen
Real Sociedad de Fútbol v Manchester United FC
Juventus v Real Madrid CF
FC København v Galatasaray A.Ş.
Paris Saint-Germain v RSC Anderlecht
Olympiacos FC v SL Benfica
Manchester City FC v PFC CSKA Moskva
FC Viktoria Plzeň v FC Bayern München
No comments:
Post a Comment