Pages

Friday, November 8, 2013

TIGER WOODS AWEKA REKODI ULAYA HADI ASIA


Mcheza gofu maarufu duniani, Tiger Woods ameweka rekodi ya kupiga mpira kutoka bara moja kwenda lingine.
Woods alifanya hivyo wakati wa ufunguzi wa michuano ya Tukish Airline kwa kupiga mpira kutoka Asia kwenda Ulaya kupitia daraja la Bosporus. 




Michuano inafanyika katika mji wa kitalii wa Antalya Kusini mwa Uturuki.
Daraja hilo maarufu kwa kuwa ndiyo linatenganisha mabara ya Asia na Ulaya.



No comments:

Post a Comment