Pages

Saturday, November 9, 2013

NIGERIA U-17 MABINGWA WA DUNIA 2013


Wachezaji wa U-17 wa Nigeria wakishangili baada ya kufanikisha kuifunga Mexico bao 3-0 jana kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa Mohammad Bin Zayed, Abu Dhabi.
Wachezaji wa U-17 wa Nigeria wakishangilia na kombe lao la dunia baada ya kuifunga Mexico mabao 3-0 kwenye fainali iliyopigwa Uwanja wa Mohammad Bin Zayed, Abu Dhabi jana.

Timu ya vijana waliochini ya miaka 17 (U17) wa Nigeria imetwaa Kombe la Dunia kwa mara ya nne jana baada ya kuwalaza vijana waliochini ya miaka 17 (U17) wa Mexico mabao 3-0 katika fainali iliyopigwa Abu Dhabi. Pia Nigeria ilitwaa kombe hilo 1985, 1993 na 2007.

Mashabiki jana wakishangilia kwenye fainali hiyo kwenye uwanja wa Mohammad bin Zayed Abu Dhabi.
Mapulizo uwanjani yalipeperushwa wakati Nigeria walipopepetana na Mexico kwenye Fainali hiyo ya vijana U-17.

No comments:

Post a Comment