Pages

Wednesday, November 20, 2013

ENGLAND YAFUNGWA NA GERMANY 1-0, HIKI NI KIPIGO CHA PILI CHA KOCHA ROY HODGSON WEMBLEY

Taswira ya uwanja wa Wembley wakati England walipoikaribisha Germany.

England imepata vipigo viwili mfululizo Uwanjani kwao Wembley baada kuchapwa Bao 1-0 na Germany Usiku huu na kipigo hiki kinafuatia kile cha Ijumaa walipopigwa 2-0 na Chile. Bao la kichwa cha Per Mertesacker, Sentahafu wa Arsenal, kwenye Dakika ya 39 liliwaua England Bao 1-0.
Ijumaa, England, pia wakicheza Wembley, walipigwa 2-0 na Chile huku Bao zote mbili zikifungwa na Alexis Sanchez ambae ni Mchezaji wa Barcelona.
Mario Goetze akikabwa na Adam Lallana pamoja na Tom Cleverleykulia.Nao Germany walikaba vilivyo baada ya kuona swala ni ukabaji tu!!Kocha wa Germany Joachim LoewLars Bender na Andros Townsend wakichuana kuugombea mpiraKipa Joe Hart akifungwa kwa kichwa na Per Mertesacker
Bao la Per Mertesacker likizama nyavuni.
Per Mertesacker ndie aliwaua England.
Per Mertesacker akishuhudia bao lake nyavuniHoi!!Per Mertesacker kushoto akishangilia baada ya kufunga bao lake  Kipa wa Germany Roman Weidenfeller akiokoa mapande ya washambuliaji wa England!Kipa Joe Hart na Chris Smalling wakiutafuta mpiraJuhudi za mshambuliaji wa Man United Wayne Rooney hazikufua dafu!!Daniel Sturridge hoi!!

No comments:

Post a Comment