Tottenham wakiwa ugenini nchini Moldova kucheza na Sheriff Tiraspol, Dakika ya 12 Jan Vertonghen ametupia bao la kichwa na kuipa nafasi nzuri Spurs kwenye kipindi cha kwanza na kumalizika kwa dakika 45 Spurs wakiwa juu ya bao hilo la Kapteini Jan Vertonghen. Licha ya wenyeji kufunga bao dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza mwamuzi wa pembeni alidai bao hilo la kuotea la Sheriff Tiraspol. Kipindi cha pili dakika ya 75 Jermain Defoe akawapatia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Sheriff Tiraspol.Wachezaji wa Spurs wakishangilia na kupongezana baada ya kapteini wao kuwafungia bao safi la kichwa dakika ya 12 kipindi cha kwanza. Mchezaji wa Sheriff Henrique Luvannor akimkaba mchezaji wa Spurs katika kipindi cha kwanza Kazi na dawa: Aaron Lennon wa Tottenham kwenye patashika kugombea mpira hapa na Djibril Paye wa Sheriff
Pages
▼
Friday, October 25, 2013
TOTTENHAM HOTSPURS YAIFUNGA SHERIFF TIRASPOL 2-0 EUROPA LEAGUE
Tottenham wakiwa ugenini nchini Moldova kucheza na Sheriff Tiraspol, Dakika ya 12 Jan Vertonghen ametupia bao la kichwa na kuipa nafasi nzuri Spurs kwenye kipindi cha kwanza na kumalizika kwa dakika 45 Spurs wakiwa juu ya bao hilo la Kapteini Jan Vertonghen. Licha ya wenyeji kufunga bao dakika za mwishoni mwa kipindi cha kwanza mwamuzi wa pembeni alidai bao hilo la kuotea la Sheriff Tiraspol. Kipindi cha pili dakika ya 75 Jermain Defoe akawapatia bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya wenyeji Sheriff Tiraspol.Wachezaji wa Spurs wakishangilia na kupongezana baada ya kapteini wao kuwafungia bao safi la kichwa dakika ya 12 kipindi cha kwanza. Mchezaji wa Sheriff Henrique Luvannor akimkaba mchezaji wa Spurs katika kipindi cha kwanza Kazi na dawa: Aaron Lennon wa Tottenham kwenye patashika kugombea mpira hapa na Djibril Paye wa Sheriff
No comments:
Post a Comment