Pages

Thursday, October 24, 2013

JAMAL MALINZI AZINDUA KAMPENI

Mgombea nafasi ya Urais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF),Jamal Malinzi akizungumza na Waandishi wakati wa Uzinduzi wa Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo,iliyofanyika mchana huu kwenye Ukumbi wa Mikutano kwa Hoteli ya Hyatt Regency,Jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wa vyama vya soka nchini Tanzania wakifuatilia uzinduzi wa kampeni

No comments:

Post a Comment