Pages

Sunday, October 13, 2013

IVORY COAST YAIFUNGA SENEGAL 3-1, DROGBA, KALOU NA GERVINHO WAFUNGA MOJA MOJA


Didier Drogba, Salomon Kalou na Gervinho leo wamefunga bao moja moja na kuipa ushindi Nchi yao ya Ivory Coast dhidi ya timu ya Senegal kwenye mchezo wa kwanza wa Kugombea nafasi ya kucheza kombe la Dunia Brazil 2014. 

Drogba Ndiye aliyeanza kufunga bao la kwanza kupitia kwenye mkwaju wa penati dakika ya 5, Bao la pili la Ivory Coast limepatikana kwa Ludovic SanĂ© kujifunga wenyewe dakika 14, likiwa ni bao la 
Gervinho. Kalou akafunga bao dakika ya 50, Mchezaji wa Newcastle Papiss Cisse akawapatia bao la kufutia machozi Senegal katika dakika ya 90.
Gervinho akiwapelekesha wachezaji wa Senegal
VIKOSI:
Ivory Coast: Barry, Boka, Bamba, Aurier, Zokora, Tiote, Die, Toure, Gervinho (Gradel 90), Drogba (Traore 77), Kalou (Sio 50).
Subs: Gbohouo, Viera, Toure, Romaric, Allegne, Bony, Gosso, Angoua, Keita.
Goals: Drogba (pen) 5, Gervinho 14, Kalou 49.

Senegal: Coundoul, Ludovic Sane, Kouyate, Gassama, Souare, Diame, Gueye, N'Diaye (Mane 45), Cisse, Sow (Saivet 78), N'Doye.
Subs: Ndiaye, Mison Djilobodji, Mbodji, Cissokho, Ibra, Badji, Sougou, Salif Sane, M'Bengue, Ndoye.
Goal: Cisse 90.

No comments:

Post a Comment