Pages

Thursday, October 17, 2013

BONDIA LULU KAYAGE AJIFUA KUZIPIGA NA FATUMA OMAR OKTOBER 26



Kocha mkongwe wa mchezo wa masumbwi nchini Habibu Kinyogoli kushoto akiwasimamia mazoezi bondia Lulu Kayage na Amir Shekh wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya mazoezi Ilala iliyopa Amana Dar es salaam jana
BONDIA LULU KAYAGE BAADA YA KUMALIZA MAZOEZI AKIWA AMEPOZI
Mabondia Amir Shekhe kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Lulu Kayage wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Amana Dar es salaam jana Lulu ana jiandaa na mpambano wake na Fatuma Omari utakaofanyika Oktober 26 katika ukumbi wa panandi panandi Ilala Bungoni

No comments:

Post a Comment