Pages

Sunday, October 6, 2013

BONDIA HUSSEIN GOBOSSY AKIMBIA ULINGONI BAADA YA KULEMEWA NA MAKONDE YA MPINZANI WAKE

Bondia Adamu Ngange kushoto akipambana na Hussein Gobossy wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi wa Sonata uliopo Chanika Dar es salaam jana. Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya nne

Adamu Ngange katikati akiwa na kocha wake
Bondia Hussein Gobossy  kushoto akipambana na Adamu Ngange wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika katika ukumbi wa Sonata uliopo Chanika Dar es salaam jana. Ngange alishinda kwa K,O ya raundi ya nne
Bondia Adamu Ngange akisubiri kupigana na mpinzani wake
Bondia Adamu Ngange kulia akimwangalia bondia HUSSEIN GOBOSSY ambaye alikimbia ulingoni kwa kipigo kikali ambapo mvua ya makonde ikimwelemea
Bondia Adamu Ngange akinyosha mikono juu baada ya mpinzani wake kuingia mitini kwa kukimbia mchezo

No comments:

Post a Comment