Wilshere
alipigwa picha akiwa na Sigara mkononi nje ya Klabu ya Usiku Jijini
London Usiku wa baada ya Mechi ambayo Arsenal iliifunga Napoli 2-0
kwenye UEFA CHAMPIONS LEAGUE.
Hata hivyo, Wenger alikataa kuzungumza nini hasa ataongea na Wilshere na adhabu gani ya utovu wa nidhamu atapewa na badala yake alisisitiza kuwa Kiungo huyo mweye Miaka 21 ni mmoja wa Wachezaji muhimu wa Kikosi chake.
JACK WILSHERE SI WA KWANZA KUONEKA AKIVUTA WAPO WENGINE WAVUTAJI.
Ashley Cole na Dimitar Berbatov
Wayne Rooney
Mchezaji wa zamani wa Manchester City Mario Balotelli

No comments:
Post a Comment