Pages

Saturday, October 19, 2013

ARSENAL 4 v NORWICH 1, OZIL, WILSHERE NA RAMSEY WAING'ARISHA GUNNERS LEO, WENGER ACHEKELEA KIPIGO HICHO!!


ARSENAL wameendelea kubaki kileleni mwa BPL, Ligi Kuu England, baada ya kuichapa Norwich City Bao 4-1 Uwanjani Emirates na Chelsea, waliokuwepo kwao Stamford Bridge, pia kuipiga Bao 4-1 Cardiff City na kukamata Nafasi ya Pili huku Mabingwa Manchester United wakibanwa kwa Sare ya Bao 1-1 na Southampton ambayo imewaacha wakiwa Nafasi ya 8.
Wilshere akifunga goli kwa krosi safi aliyopewa na mwenzake

Hadi ndani: Wilshere akitupia hadi nyavuni
Olivier Giroud akimpongeza Wilshere
Mesut Ozil akifurahia bao lake kwa Arsenal baada ya kufunga bao la pili

Ozil akishangilia!!

Ozil akipeta kwa furaha
VIKOSI VYA LEO
Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Flamini (Ramsey 37), Wilshere, Ozil, Cazorla (Rosicky 59), Giroud (Bendtner 78)
Subs not used: Vermaelen, Monreal, Fabianski, Jenkinson.
Goals: Wilshere 18, Ozil 58, Ramsey 83, Ozil 88.

Norwich: Ruddy, Martin, Turner, Bassong, Olsson, Tettey (Hoolahan 79), Snodgrass,Howson, Fer, Pilkington (Redmond 70), Hooper.
Subs not used: Whittaker, Johnson,Bunn, Becchio, Ryan Bennett.
Goals: Howson 70
Attendance: 60,009
Referee: Lee Probert

No comments:

Post a Comment