Pages

Friday, October 18, 2013

ADNAN JANUZAJ: NATAKA NIBAKIE UNITED ILI NIJE NIISAIDIE TIMU YANGU NA KUWA MCHEZAJI BORA DUNIANI!’ UNITED WAWAFANYIA MAZOEZI SOUTHAMPTON OLD TRAFFORD LEO IJUMAA!!


Moyes, ambae ndie alisaidia kuibua Kipaji cha Wayne Rooney na Ross Barkley wakati akiwa na Klabu yake ya zamani Everton, amezungumza: “Pengine huyu ndie Kijana mtulivu kupita yeyote niliewahi kuwa nae! Nimekuwa na Wayne na Ross na wengine walioanza chini lakini huyu ametulia na hayumbi.” Ready to stay: Manchester United's Adnan Januzaj wants to stay at the club
Aliongeza: “Yupo kwenye mikono mizuri! Ni wazi Baba yake na Familia yake inamwongoza vizuri. Kwa sasa sioni tatizo lolote! Pengine katika Miaka ijayo mtakuja kukumbuka haya mahojiano!”

Hata hivyo, Moyes amesema hamna uhakika kama Januzaj atacheza kwenye Mechi ya Jumamosi ya Ligi Kuu England Uwanjani Old Trafford dhidi ya Southampton.

Alifafanua: “Sidhani kama kuna Mtu anacheza kila Mechi ya Manchester United. Tuna Wachezaji wengi kubadili Timu kila Mechi. Adnan ana Miaka 18, unategemea atacheza kila Mechi? Je ni mzuri kiasi hicho? Jibu ni ndio!”

All smiles: Manchester United manager David Moyes shares a joke with Patrice Evra (centre) and Wayne Rooney (right) during training on Friday ahead of the clash with Southampton at Old Trafford
Meneja wa Manchester United  David Moyes akipeana jambo na  Patrice Evra pamoja na Wayne Rooney leo ijumaa kujiweka sawa na  mchezo wao pamoja  Southampton hapo Old Trafford kesho jumamosi saa 11 kamili mchana.
Patrice Evra na Ashley Young
Glad to be back: Patrice Evra and Robin van Persie get hands-on during training. Van Persie became Holland's all-time leading scorer during the international period
Patrice Evra na Robin van Persie wakifurahia jambo, Kumbuka  Van Persie ndiye ameshikilia na kuvunja historia ya Nchi yake  Holland kwa kuvuja ya Patrick K. Hivi karibuni..!
Laugh a minute: Nani was also involved in the joke, though United's league form so far this season has been no laughing matter
Nani nae alionekana kufurahia mazoezi hayo na pia kumbuka tangu msimu huu uanze Nani amekuwa akijumuishwa kwenye kikosi cha kwanza.
MSIMAMO: MAN UNITED WALIPO MPAKA SASA!As it stands: The current Premier League table

No comments:

Post a Comment