Luis Suarez nae akifurahia bao lake la pili kwa msimu huu baada ya kurudi tangu kufungiwa kwake mechi 10 na hapa aliifungia bao Liverpool dakika ya 36 kipindi cha kwanza baada ya kupewa krosi safi kama kona na kuteleza na mpira hadi nyavuni.
Pages
▼
Monday, September 30, 2013
LIVERPOOL ILIVYOICHAPA SUNDELAND 3-1 KWENYE ENGLISH PREMIER LEAGUE, KOCHA MPYA WA SUNDERLAND AKARIBISWA KWA KICHAPO
Luis Suarez nae akifurahia bao lake la pili kwa msimu huu baada ya kurudi tangu kufungiwa kwake mechi 10 na hapa aliifungia bao Liverpool dakika ya 36 kipindi cha kwanza baada ya kupewa krosi safi kama kona na kuteleza na mpira hadi nyavuni.
No comments:
Post a Comment