Timu ya England ikicheza
Uwanjani Wembley leo imeifunga timu ya Moldova bao 4-0, kwenye mechi yao muhimu
ya Kundi H la Kombe la Dunia dhidi ya Moldova na Straika wa Southampton Rickie
Lambert akitangulizwa kucheza mchezo huu kama mshambuliaji, Bao la kwanza la
England limefungwa na timu kapteini Steven Gerrard katika dakika ya 12, Rickie
Lambert akifunga bao la pili dakika ya 26.
KUMBUKA TIMU HIZI ZILISHAKUTANA USO KWA USO
RATIBA/MATOKEO
Steven
Gerrard akishangilia baada ya kufungua kwa kufunga bao la kwanza dakika ya 12 ya
mchezo usiku huu.
Mchezaji matata wa manchester United Danny Welbeck akifunga bao mbili peke yake dakika ya mwishoni dakika za nyongeza za kipindi cha kwanza za dakika 45 na bao la pili akilifunga dakika ya 50 baada ya kupewa basi safi iliyotoka nyuma kwa Steven Gerrard na kupokelewa na mchezaji mwingine aliyemtangulizia kwa mbele Welbeck na hatimaye kutofanya makosa na kuipatia bao hilo la nne na kufanya England kuwa mbele ya bao 4-0 dhidi ya Moldova. Lambert, akicheza Mechi yake ya kwanza tu ya England, Mwezi uliopita alitoka Benchi na kuifungia Bao la ushindi England ilipoifunga Scotland na leo hii ameifungia bao tena England la pili. Pamoja na Danny Welbeck kufunga bao mbili wenda akakosa mechi ijayo na Ukaine kwa kuwa mchezo huu ameoneshwa kadi nyekundu katika dakika ya 45 na refa wa mchezo huo.

Baada ya Mechi hii,
England watasafiri kwenda Kiev ambapo Jumanne watacheza na Ukraine. Steven Gerrard akiachia shuti kali na kufunga bao la kwanza
Akishangilia hapaBao....mpira ukiishilia kwenye kambaAshley Cole kwenye anga zake Danny Welbeck akikacha na mpira kwenda kufunga bao la tatu
Danny Welbeck akifunga bao lake la pili dakika za mwisho
kipindi cha kwanza.
Welbeck akikacha baada ya kuziona nyavu tena!!
akifunga bao la pili dhidi ya Moldova kwenye uwanja wa Wembley, LondonSteven Gerrard kwenye patashikaNipishe nipite!!KUMBUKA TIMU HIZI ZILISHAKUTANA USO KWA USO
-Septemba 1996
Moldova 0 England 3 (Chisinau, Moldova)
-Septemba 1997
England 4 Moldova 0 (Wembley, London)
-Septemba 2012
Moldova 0 England 5 (Chisinau, Moldova)
-Septemba 2013
England 4 Moldova 0 ( Wembley,
London)
Ijumaa Septemba 6
England 4
v Moldova 0
Poland 1 v
Montenegro 1
Ukraine 9
v San Marino 0
Jumanne Septemba 10
San Marino v
Poland
Ukraine v
England
Ijumaa Oktoba 11
England v
Montenegro
Moldova v San
Marino
Ukraine v
Poland
Jumanne Oktoba 15
England v
Poland
Montenegro v
Moldova
San Marino v
Ukraine
No comments:
Post a Comment