Pages

Tuesday, August 27, 2013

REDD'S MISS TZ WAWASILI KAMBINI GIRAFFE VIEW


Warembo wa Redd's Miss Tanzania wakiwasili katika kambi ya taifa ya warembo hao kwenye Hoteli ya Giraffe Ocean View jijini Dar es Salaam. Warembo 30 wataanza kambi hiyo leo.
Mkurugenzi wa LINO Agency ambao ni waandaaji wa shindano la Miss Tanzania, Hashimu Lundenga akisalimiana na mmoja wa warembo hao.
Meneja wa kinywaji cha Redd's Original, Victoria Kimaro akizungumza na warembo wa shindano la Redd's Miss Tanzania waliowasili jijini Dar es Salaam leo na kuingia moja kwa moja kambini kujiandaa na shindano la taifa.
Hashimu Lundenga akiongea na warembo hao, kulia kwake ni Meneja wa Kinywaji cha Redd's Original, Victoria Kimaro.

No comments:

Post a Comment