Pages

Tuesday, August 27, 2013

MWAMUZI MARTIN ATKINSON ALICHEZESHA VIZURI MECHI JANA USIKU KATI YA MANCHESTER UNITED v CHELSEA, LAKINI ALICHEMKA KWENYE MAKOSA MAWILI YA WAZI

MANCHESTER United na Chelsea zimetoshana nguvu kwa sare ya bila kufunguna kwenye mchezo wa Ligi Kuu uliopigwa kwenye uwanja wa Old Trafford jana usiku, Tukishuhudia mwamuzi akipeta kutoa penati kwa Man United baada ya Frank Lampard kuukinga mpira usipite eneo la penati, pili alitakiwa kumpa kadi Cole kwa kujitupa kijinga (kuijrusha-blatant dive) na niliona ni shida tu kwa kumpa kadi ya njano Kevin De Bruyne alipokwaana na Robin Van Persie.

Refa Martin Atkinson alikuwepo eneo hilo na alipeta kutoa penati na huku anaona Frank Lampard amekinga shuti la Tom Cleverley kwa mikono.

Ashley Cole alijirusha ili apate penati kipindi cha pili..


Jose Mourinho

No comments:

Post a Comment