Pages

Friday, August 30, 2013

LULU AZINDUA FILAMU YA “FOOLISH AGE”ANGALIA PICHA ILIVYOKUWA

Elizaberth Michael (Lulu) akizungumza na wageni waalikwa katika uzinduzi wa filamu ya Foolish Age iliyotengenezwa na Kampuni ya Proin Promotion chini ya Mwenyekiti wake Jonson Lukaza ambaye ameweza kujitolea kwa hali na mali mpaka kufanikisha utengenezaji wa filamu hii na uzinduzi kwa ujumla, Uzinduzi huo unafanyika usiku huu. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE MLIMANI CITY.Waigizaji wa filamu na wageni mbalimbali wakifuatilia filamu ya Lulu. Tapeli Dude akifanya mambo yake wakati wa uzinduzi huo. Mwanamuziki Barnaba Classic akiimba kwenye uzinduzi huo. Wageni waalikwa mbalimbali wakiwa katika uzinduzi huo.Elizabeth Michael (Lulu) akiwasili kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam tayari kwa uzinduzi wa filamu yake inayokwenda kwa jina la Foolish Age

Mwenyekiti wa Kampuni ya Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa katika hafla ya uzinduzi wa filamu ya Foolish Ege.
Lulu akilakiwa kwa mbwembwe na vijana walioandaliwa kwa kazi hiyo. Mwenyekiti wa kampuni ya Proin Promotion Bw. Jonson Lukaza katikati akizungumza na baadhi ya waigizaji wa filamu Rich Rich na mwenzake Jonson Lukaza akizungumza na baadhi ya wageni wake waliohudhuria katika uzinduzi wa filamu hiyo Muigizaji wa filamu Jacob Steven akizungumza na wageni wa kampuni ya Proin Promotion katika uzinduzi huo Muigizaji Vicent Kigosi Ray akiwasili katika uzinduzi huo unaofanyika usiku huu kwenye ukumbi wa Mlimani City.

No comments:

Post a Comment