Mshambuliaji nyota wa klabu ya Liverpool,
Luis Suarez amefunguka na kutaka kuruhusiwa kuondoka Liverpool huku
akiwatuhumu waajiri wake kutoheshimu ahadi waliyowekeana. Baada ya vuta nikuvute
ya kipindi kirefu kuhusu muskabali wake, nyota huyo wa iimataifa wa Uruguay
ameweka bayani nia yake kwa kuipasha Liverpool kuwa nataka kuhamia timu
inayoshiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa kama Arsenal ambayo ndio timu pekee
mpaka sasa iliyotoa ofa ya kumsajili.
Suarez anajiandaa
kuwasilisha barua ya kuomba kuondoka mwishoni mwa wiki hii ili kutimiza malengo
yake huku akidai kuwa anaungwa mkono na PFA huku pia akijiandaa kufungua
mashitaka kwenye bodi ya Ligi Kuu ili imruhusu kuondoka. Nyota huyo mwenye miaka
26 ilibaki kidogo ajiunge na Juventus msimu uliopita lakini amesema alibaki kwa
heshima ya Liverpool na kukubaliana kama timu itashindwa kufuzu michuano hiyo
angeruhusiwa kuondoka.
Mshambuliaji Luis Suarez anajiandaa kuondoka Liverpool
October 15, 2011: The saga of Luis Suarez and Patrice Evra
would run and run...![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_uYjz4D-TfysjNhVEpId43991IRz3omPj87Q5fXgWqlkR4rtarRrV5PBebFdTt8NqrA6sKIDAg10NJRRwA7lWiIsJw5Gd8EOobldPUkpg8ehbTVVmrpyVFN-akhAP2Eh1T1o1dqqWF14yuWys3U-JS0i2Q-FOm9Q6Wdkzus-68hmYQR_jTKl3LGq1Q=s0-d)
February 11, 2012: And run...![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_ucyt7zHSs4snVjjvWzJFFTyTNxz3TBPSTtiYK7q2t1b8xn40xYUOcC9ckgc2GCpqlrRvGRVA2PIzyQJ6pwGIhB1SIamI3INaSrDAdYHFayhFtnUscOr7BzI6qUoJCllxtNLZ29zQbZI9aOqWVZmoHN8I0qMIq1rIjd1f2dXUaelDB-FA1ifVsaxm8=s0-d)
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_tD8Wt1oeyUA3EQSTWxC7yySbdVd-uwm1i_r6IQn5gVu_63Cw_6EkWkdg0iyVTLV1s-ys9-qCFfmzkqV07umoDZA206bmyz-fOTWeljn8NdfVTn3wbEhst899xqSPLq96jkUXstlpfHeWiJiF7v5e_uOb5qWIrzNL4eZYxUYdg-XtQbi2wUAtnxry0=s0-d)
October 28, 2012: Suarez celebrates scoring against Everton
with an exaggerated dive in front of Toffees manager David Moyes
January 6, 2013: More controversy as Suarez is accused of
using his hand to score against Mansfield in the FA Cup
March 10, 2013: Suarez scores against Spurs - his 50th goal
for Liverpool in all competitions
April 21, 2013: Suarez shocks football again by biting
Chelsea's Branislav Ivanovic...
No comments:
Post a Comment