JK akisaini mpira mbele ya mwamuzi Othman Kazi |
JK akisalimiana na wasanii wa Bongo fleva |
Kikosi cha Wabunge wa Simba |
Kikosi cha wabunge wa Yanga |
Bongo movie na bongo fleva wakichuana |
Kocha wa bongo Muvi JB akifuatilia mpambano kwa makini |
Ester Bulaya (mb) akichuana na Aunt Ezekiel |
Halima Mdee(mb) akichuana na Jacline Wolper |
Prezoo naye alikuwepo pia |
Thomas Mashali akipokea ngao baada ya kumpiga kwa KO bondia wa Kenya |
Kijana aliyeleta fujo akiwa amebebwa na baunsa baada ya kugoma kutembea wakati alipokamatwa na polisi |
Bondia ambaye alikuwa mpinzani wake na Thomas Mashali akiwa chini baada ya kupokea konde zito |
No comments:
Post a Comment