Timu ya Mwanza wakishangilia baada ya kupokea hundi yao na kombe |
Timu ya Kinondoni wasichana wakishan gilia na kombe lao walilotwaa baada ya kuifunga Ilala bao 1-0 |
Rais wa TFF Leodgar Tenga akimkabidhi nahodha wa Kinondoni wasichana kombe |
Waliokaa chini mbele ndio wachezaji bora sita waliochaguliwa kujiunga na timu ya Airtel Afrika |
Timu ya Airtel Rising Stars wanaume itakayowakilisha nchini kwenye mashindano ya Afrika ya ARS wakiwa pamoja na uongozi baada ya kutangazwa |
Timu ya Airtel Rising Stars wasichana itakayowakilisha nchini kwenye mashindano ya Afrika ya ARS wakiwa pamoja na uongozi baada ya kutangazwa |
Kocha mkongwe Kenedy Mwaisabula akivishwa medali na Rai wa TFF baada ya kazi iliyotukaka ya kusimamia michuano ya ARS |
Mwenyekiti wa DRFA Almas Kassongo akivishwa medali na Rai wa TFF baada ya kazi iliyotukaka ya kusimamia michuano ya ARS |
No comments:
Post a Comment