Pages

Sunday, July 7, 2013

PAULIHNO AKAMILISHA USAJILI WAKE TOTTENHAM BAADA YA KUFUZU VIPIMO VYA AFYA


Kiungo wa kimataifa wa Brazil Paulinho sasa akamilisha usajili wake wa Tottenham
Kiungo  wa Brazil Paulinho amejiunga na Tottenham akitokea Corinthians kwa ada ya pauni milioni £17.
Paulinho, ambaye alichagiza ushindi wa taji la Confederations kwa Brazil amefanikiwa kupita mtihani wa kipimo cha afya kabla ya kuanguka saini ya kuichezea klabu hiyo.

Paulinho factfile
Full name: Jose Paulo Bezerra Maciel Junior
Born: 25 July 1988
Brazil caps: 17
Brazil goals: 5

Kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 aliwasili London alhamisi na kukutana na meneja wa wake mpya Andre Villas-Boas na baadaye mwenyekiti Daniel Levy.
Amenukuliwa akisema
"ninafuraha kujunga na Spurs. Ni furaha sana katika kazi hii kuwepo katika klabu kubwa kama Tottenham,".
Real Madrid pia ilionyesha nia kwa Paulinho, ambaye aliicheze klabu ya FC Vilnius ya Lithuania na LKS Lodz ya Poland.
Mzaliwa huyo wa Sao Paulo amefunga jumla ya mabao 34 goals katika jumla ya michezo 167 aliyoichezea Corinthians na alichagiza ushindi wa Brazil wa mabao 3-0 wa mchezo wa fainali ya michuano ya Confederations Cup dhidi ya Hispania.

No comments:

Post a Comment