Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, July 5, 2013

MICHUMA YA KUTISHA YA WACHEZAJI WA MAN UTD WALIYOTINGA NAYO MAZOEZINI BAADA YA KUMALIZA MAPUMZIKO


MERC-URIAL TALENT ... Anderson turns up in his £168,395 SLS
MERC-URIAL TALENT ... Anderson  £168,395 SLS
VIJANA wa Manchester United wamerejea mazoezini tayari kutetea ubingwa wao msimu huu.
Wachezaji hao walitinga mazoezini juzi na nje ya uwanja wa   Carrington eneo la kuegesha magari palionekana kama eneo la muuza magari mkubwa.
Magari kuanzia aina ya  Range   ya  Anderson yenye thamni ya pauni 168,395, Mercedes  na  Chevrolets ambazo zinaendeshwa na wachezaji kama  Alex Buttner  na  Rafael.
Ifuatayo ni orodha ya magari na majina ya wachezaji wanaoyamiliki.

Rio Ferdinand — Jaguar XJ Portfolio (£70,385)
Rio Ferdinand

Wayne Rooney — Range Rover Sport Autobiography (£84,895)
Rooney

Nemanja Vidic — Mercedes M Class (£47,385)
Vidic

Ryan Giggs — Range Rover Sport Autobiography (£98,395)
Giggs

Phil Neville — Porsche Cayenne (£86,895)
Neville

Rafael and Fabio da Silva — Chevrolet Captiva (£32,000)
Fabio & Rafael

Michael Carrick — Mercedes M Class (£47,386)
Carrick

Ashley Young — Range Rover Sport Autobiography (£68,995)
Young

Alex Buttner — Chevrolet Camaro Coupe (36,785)
Buttner




No comments:

Post a Comment