Isco wa Real Madrid anamatumaini kuwa kuhama kwake kutamuongezea nafasi ya kucheza katika kombe la dunia akiwa na kikosi cha timu ya HispaniaAmejiunga na klabu hiyo akitokea Malaga kwa ada ailiyoripotiwa ya pauni £23 na kuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na meneja mpya Carlo Ancelotti.Isco amesaini mkataba wa miaka mitano baada ya kufanikiwa katika vipimo vyake afya.
Born: Benalmadena, Spain, on 21 April 1992 Clubs: Valencia B, Valencia, Malaga, Real Madrid International: Spain - one appearance
Isco amekabidhiwa jezi nambari 23 namba ambayo ilikuwa ikitumiwa na David Beckham wakati akiitumikia Bernabeu.Amenukuliwa akisema"Sote tunamjua Beckham ni mchezaji mkubwa na aliitumia kwa miaka 10, lakini nimechagua namba hii kwasababu ni siku ya kuzaliwa kaka yangu ".
No comments:
Post a Comment