SPAIN YAITANDIKA ITALIA KWA PENATI 7-6 BAADA YA KUMALIZA MUDA WA KAWAIDA BILA KUFUNGANA
TIMU
ya Taifa ya Hispania usiku wa kuamkia leo walifanikiwa kutinga fainali
kuifuata Brazili katika dimba la Marakana, baada ya kitungua Italia kwa
mabao 7-6.
MATOKEO FIFA CONFEDERATIONS CUP | SPAIN 0-0 ITALY
Penalti (SPAIN 7-6 ITALY)
Italy
Candreva (kafunga')
Aquilani (kafunga')
Rossi (kafunga')
Giovinco (kafunga')
Pirlo (kafunga')
Montolivo (kafunga')
Bonucci (kakosa)
Za Spain
Hernandez (kafunga)
Iniesta (kafunga')
Piqué (kafunga)
Ramos (kafunga')
Mata (kafunga')
Busquets (kafunga')
Navas (kafunga')
No comments:
Post a Comment