Pages

Sunday, June 23, 2013

PICHA: DIAMOND PLATINUMZ ALIVYOWASILI COMORO JANA JUMAMOSI TAREHE 22.06.2013


Pichani ni Dimond Platnumz na crew yake ya Wasafi walivyowasili nchini Comoro juzi jioni wakiwa tayari kwa makamuzi ya show iliyofanyika jana Jumamosi (June 22).
Kupitia website yaye Platnumz ameweka picha za mapokezi yake na Wasafi juzi jioni walipowasili Comoro





Hapa Diamond Platnumz akifanyiwa mahojiano na kituo cha TV cha Comoro

No comments:

Post a Comment