Mtoto wa Rais wa Tanzania Miraji Kikwete ametoa fulana kwa kamati inayoandaa msiba wa Albert Mangwea aliyeaga dunia akiwa Afrika ya Kusini Mei 28, mwaka huu. Miraji amekabithi tshirt kwa kamati hiyo inayoongozwa na PFunk kwenye viwanja vya Leaders Club leo Mwili wa msanii huyo ambaye kifo chake kina utata unaletwa kesho nchini na utafikia hospitali ya Muhimbili na siku ya Jumanne utazikwa huko Mazimbu Morogoro. |
No comments:
Post a Comment