Pages

Thursday, June 6, 2013

CHEKI MAELFU WALIVYOFURIKA KUMZIKA NGWEA LEO KATIKA MAKABURI YA MTAKATIFU MONICA KIHONDA MOROGORO.

JENEZA LENYE MWILI WA MWANAMUZI ALBERT KENETH MANGWEA LIKIWA LIMEBEBWA JUU JUU NA WAKAZI WA MJI WA MOROGORO MARA BAADA YA KUTEREMSHWA KATIKA GARI, HATA HIVYO HALI ILIKUWA MBAYA KWA WAANDISHI HASA PALE WALIPOTAK
A KUCHUKUA PICHA NA KUSHINDWA KUTOKANA WINGI WA UMATI WA WATU KUANZIA ENEO LA JAMHURI HADI MAKABURI NA HII INADHIHIRISHA KUWA NGWEA ALIKUWA NA THAMANI KUBWA MBELE YA WATANZANIA, 
PICHA WWW.JUMAMTANDA.BLOGSPOT.COM
ULINZI ULIKUWA MKALI LAKINI KUTOKANA NA UMATI MKUBWA WA WATU KAZI YA KUWALINDA WATU HAO ILIKUWA NGUMU KAMA PICHANI INAYVYOONEKANA.
HII NI SEHEMU YA KWANZA YA MATUKIO YA MAZISHI YA MANGWEA KWANI SEHEMU YA PILI UTAWEZA KUONA NAMNA WATU WALIVYOJITOKEZA MAENEO MBALIMBALI YA BARABARA KUU ZA MANISPAA YA MOROGORO WAKIWA WAMEKAA KANDO YA BARABARA WAKITAKA KUSHUHUDIA SAFARI YA MWISHO YA KIPENZI CHETU ALBERT KENETH MANGWEA.

No comments:

Post a Comment