Pages

Sunday, May 12, 2013

WIGAN YATWAA KOMBE LA FA BAADA YA KUIFUNGA MAN CITY


BAO la Ben Watson katika dakika ya mwisho kabisa jioni hii limeipa Wigan ubingwa wa Kombe la FA kwa mara ya kwanza kabisa ikiichapa Manchester City 1-0 kwenye Uwanja wa Wembley.

Nyota huyo aliyetokea benchi alifunga kwa kichwa akiunganisha kona na kuwa shujaa wa mashabiki wa Wigan na kumfanya Roberto Mancini arejee nyumbani mikono mitupu.
Man City ilimaliza pungufu ya mchezaji mmoja baada ya Zabaleta kutolewa nje kwa kadi nyekundu daika ya 84.

Katika mchezo huo, kikosi cha Man City kilikuwa: Hart, Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy, Silva, Toure , Barry/Dzeko dk90, Nasri/Milner dk 54, Aguero na Tevez/Rodwell dk69.
Wigan: Robles, Boyce, Scharner, Alcaraz, Espinoza, McCarthy, McArthur, Gomez/Watson dk81, McManaman, Kone na Maloney.
Delight: Ben Watson headed home in the last minute as Wigan wont heir first ever FA Cup in dramatic style

Rahaaa: Ben Watson akishangilia bao lake la ubingwa wa FA
Despairing: Joe Hart couldn't keep Watson's header out as Wigan won their first ever major trophy
Joe Hart akiruka bila mafanikio
Borrowed time: Mancini is set for a Manchester City exit with Malaga's Manuel Pelligrini lined up to take over
Mancini sasa anaweza kutimuliwa Manchester City akimpisha kocha wa Malaga, Manuel Pelligrini
Head in hands: Sergio Aguero reacts to a missed chance for Manchester City
Sergio Aguero akijutia kupoteza nafasi ya kufunga
Battle: City midfielder Yaya Toure is tackled by Wigan's Paul Scharner
Kiungo wa City, Yaya Toure akikabiliana na Paul Scharner wa Wigan
Decisions: Both managers issue instructions to their team during the match
Refa mudaa: makocha wote walikuwa bize leo
Routine: The Wigan team huddle up on the pitch just prior to kick off at Wembley
Dua iliyopokewa: Wachezaji wa Wigan wakiomba dua kabla ya mechi
In the spirit: A Manchester City fan enjoys himself before the match
Shabiki wa Manchester City akifurahia na Kombe bandia kabla ya mechi
Support: Two Manchester City fans wear Mancini masks at Wembley
Mashabiki wawili wa Manchester City wakiwa wamevaa sura bandia za Mancini leo Wembley
Special delivery: The trophy is brought out into the stadium
Kombe halisi: Kombe la FA likiwasilishwa uwanjani

No comments:

Post a Comment