Sasa Mtamtaka, Mchongo huu
kwa Miss Tanzania 2006 na mwigizaji wa Filamu Tanzania amepata shavu kwenye
Kampuni ya Nywele (Darling Hair Tanzania) Kwa Mujibu wa Meneja wake Martin
Kandida Mkataba huo utamfanya awe Juu zaidi na mwenye Thamani. Ingawa hakusema
kiwango hicho ambacho uwa ni kawaida kutotajwa.
Wema Sepetu akiwa wa tatu (waliosimama) kutoka kulia
Wema Sepetu akiwa wa tatu (waliosimama) kutoka kulia
No comments:
Post a Comment