Pages

Tuesday, May 28, 2013

MSANII ALBERT MANGWEA AMEAGA DUNIA LEO NCHINI AFRIKA YA KUSINI


clip_image002
Rapper, Freestyler, Albert Mangwea amefariki dunia leo hii katika hospitali ya St Hellen iliyoko South Africa, sababu za kifo chake hazijatajwa.

Msanii huyo amewika sana katika anga za muziki huo ukiwemo wimbo mitungi, mikasi na nyingizo alizoshirikiana na wasanii wenzake.
Atakumbukwa sana na makundi kadhaa ya kisanii na wapenda muziki wote wa bongo kwa ushirikiano na uwezo wake wa kuandika mistari na kuchana verse.
 Mungu Ailaze Roho Yake Mahali Pema Peponi!
.endelea kutembelea blog hii kwa habari zaidi.

No comments:

Post a Comment