Mrembo na mjasirimali hapa nchini Jokate Mwengelo weekend hii
amekuwa mgeni rasmi kwenye mashindano ya UMISSETA 2013 ngazi ya wilaya katika
halmashauri ya Songea mkoani
Ruvuma.
Jokate alikuwa kama mgeni rasmi kupitia kampeni yake Kidoti Time yenye lengo kusaidia na kuibua vipaji mbalimbali vya wanafunzi mkoani, akizungumza na mtandano alisema"
Kidoti Time ni program ambayo itakuwa
ikifanyika mashuleni kuanzia term(muhula) ujao katika masomo lengo ni kuvumbua
vipaji mbalimbali vya wanafunzi kama Uchoraji,uimbaji,ubunifu,kuingiza na vipaji
vingine...!!!!!
No comments:
Post a Comment