Pages

Thursday, May 16, 2013

FRANK LAMPARD AONGEZA MKATABA NA CHELSEA HUKU AKIWA AMEZUNGUKWA NA MIPIRA


V for victory: Chelsea's Frank Lampard at Stamford Bridge with 203 footballs marking all his goals for the club, a celebration by adidas
Frank Lampard ndani ya viunga vya Stamford Bridge akiwa amezungukwa na mipira 203 ikiwa ni alama ya rekodi yake katika sherehe na adidas.

Frank Lampard amesaini tena mkataba wa mwaka mmoja wa kuendelea kuichezea Chelsea, na kumaliza tetesi kuwa kiungo huyo ataondoka Stamford Bridge majira ya kiangazi.
Kiungo huyo hivi karibuni aliweka rekodi mpya ya ufungaji wa mabao alikuwa pia nahodha katika mchezo wa jana wa fainali ya Europa League ambayo Branislav Ivanovic alifunga goli la kichwa na la ushindi dhidi ya Benfica mjini Amsterdam.
Mkataba mpya wa Lampard umetangzwa na klabu yake ya Chelsea kwa matarajio kuwa atakuwa vizuri zaidi chini ya meneja mtarajiwa Jose Mourinho.

Frank Lampard
Frank Lampard

Lampard alikuwa akihusishwa na kutaka kuelekea Los Angeles na Uchina

No comments:

Post a Comment