Pages

Wednesday, May 22, 2013

FLAVIANA MATATA ASHIRIKI MISA YA AJALI YA MV BUKOBA


 Flaviana Matata akiwa Baba ake mzazi katika Misa ya  maombelezo  Ajali ya MV Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake mzazi, Igoma,Mwanza Flaviana Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika Makaburi ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi wananchi walopoteza maisha yao miaka 17 iliyopita.
 Flaviana Matata akiwa ofisini kwa Projest  Samson Kaija ambaye ni General Manager wa Marine Services Company ltd ambao hushirkiana nae katika maombolezo ya Ajali hii ambapo mwaka jana aliwapa msaada wa maboya ya kujiokoaFlaviana Matata akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo.

No comments:

Post a Comment