Chemundugwao kushoto akiwa na Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Viajana na Michezo, Amos Makalla.
MIMI NASHANGAA SANA JUU YA SERIKALI PALE BIFU ZINAPOKEA KWA RUGE BASI UINGILIA KATI KUTAFUTA SULUHU KWA KWELI KUNAACHA MASWALI MENGI.
KWA MTAZAMO WA KIUNGWANA NI JAMBO JEMA SANA WALAKINI YANGU KWANINI IWE KWA RUGE TU AWALI WAZIRI NCHIMBI AKIWA NAIBU WA WIZARA YETU YA HABARI UTAMADUNI,VIJANA NA MICHEZO AMEINGILIA KATI JAMBO LA RUGE NA MBILINYI (SUGU) NA SASA TUNASIKIA RUGE NA LADY J DEE SERIKALI IMEINGILIA KATI.
KUMBUKA ASHA BARAKA WA TWANGA PEPETA NA MAMAA WA MASHUJAA HATA TAFF NA BONGO BOVIE, VIKUNDI VYA TAARABU NI BAADHI TU LAKINI WENGI WAPO WALIKUWA KWENYE MVUTANO MKALI LAKINI SERIKALI IKIWA KIMYA
USHAURI WANGU HATUA HIYO NZURI SANA KULETA AMANI KWA WASANII LAKINI IWE KWA WOTE BILA KUBAGUA WATATUE INAPOTOKEA MIGOGORO HATA YA KIMASLAHI PIA KUONDOA DHANA KUWA RUGE ANAPENDELEWA SERIKALI MADHARA YAKE KWA HISIA HIZO NI KUBWA SANA,KUSIPO ZIBA UFA KUTAJENGA UKUTA TUCHUKUE HATUA SASA, MAANA SISI NDIO TUPO KARIBU NA WASANII MUDA MWINGI TUNAWAMBUSHA SERIKALI JUU YA UMUHIMU WATOA HUDUMA SAWA KWA WOTE BILA KUJALI UMAARUFU WA MSANII KWA KUANZISHA DAWATI LA HUDUMA KWA WASANII ITASAIDIA SANA
MIMI
CHE MUNDUGWAO
MWENYEKITI- CHAMA CHA MUZKI ASILI TANZANIA NA
MJUMBE WA BODI SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA
MKURUGENZI WA USHIRIKIANO- SHIRIKISHO LA MU
No comments:
Post a Comment