Pages

Tuesday, May 14, 2013

CHEKI SIMBA WAKIWA MAZOEZINI UWANJA WA MAO ZANZIBAR WAKITAFUTA MAKALI



kocha mkuu wa soka mfaransa Patrick Liweng akitoa maelekezo kiwanja .
Klabu ya soka Simba ikiwa mazoezini katika uwanja wa Mao Zanzibar katika kujiandaa na mchezo dhidi ya watani wao wa jadi Yanga utakaochezwa katika uwanja wa Taifa timu hiyo ipo Unguja kwa mazoezi sanjari na wenzao Yanga mabao wapo emba.


Naam bila shaka mioyo ya mashabiki itakuwa inasubiri nini kitakea siku ya mei 18 pale Simba itakapo vaana na Yanga kwa sasa hali ni tete baada ya timu zote mbili kuweka kambi katika visiwa vya karafuu hukoZzanzibar Mlinda wa timu ya Simba Juma Kaseja akidaka mpira katika mazoezi  uwanja wa Mao katika kujiandaa na mchezo wa dhidi watani wao Yanga ambao na wao wako Pemba ambao utakuwa ni mchezo wa ligi kuu soka vodacom  .

 

Wachezaji wa timu ya soka Simba, Agrey Moris ,Masoud Nassoro 'Cholo' wakiwa katika uwanja wa Mao jioni ya leo wakifanya mazoezi ya kujindaa na mchezo dhidi ya Yanga utakaofanyika Mei 18, mwaka huu.

No comments:

Post a Comment