Pages

Sunday, April 7, 2013

NEW HABARI 2006 LTD WALIVYOJUMUIKA KWENYE MEDIA DAY JANA NA KUCHUKUA KOMBE LA MCHEZO WA WAVU

Wafanyakazi wakipatiwa kuponi kwa ajili ya chakula na vinywaji

Hapa mpira timu ya wavu ikipasha
Timu ya soka walishiriki kikamilifu licha ya kufungwa

Timu ya mpira wa wavu wakishangilia baada ya kutinga fainali ikiongozwa na mhariri wa gazeti la Mtanzania Kurwa Karedia


Kama njani golikipa wa kutegemewa wa new habari na taswa akijitetea kwa bosi wake kwa kuchelewa kufika na kufanya timu kufungwa 

Mtoto wa mkuu wa kitengo cha IT alikuwepo
Wafanyakazi wakipata chakula na vinywaji

NEW Habari 2006 Ltd, ambao ni wachapishaji wa magazeti ya BINGWA, RAI, DIMBA, MTANZANIA na THE AFRICAN jana iliungana na vyombo vingine vya habari kushiriki siku ya vyombo vya habari inayoandaliwa na chama cha waandishi wa habari (TASWA)

Siku hiyo ilifnyika kwenye viwanja vya Leaders Club na mgeni Rasmi alikuwa Waziri wa uchukuzi Harrison Mwakyembe na burudani ya kufa mtu toka kwa Extra Bongo wazee wa kizigo.

Ilikuwepo michezo mbalimbali na New Habari ilishiriki baadhi ya michezo lakini tim,u ya mchezo wa wavu chini ya Kurwa Karedia iliweza kutinga fainali na kushika nafasi ya pili baada ya kufungwa na TSN.

No comments:

Post a Comment