Pages

Tuesday, April 23, 2013

NAKAAYA SUMARI AACHIA UTU UZIMA DAWA HUKU AKIWA NA UJAUZITO


Mwanamuziki Nakaaya Sumari ambaye alivuma na wimbo wake wa "Mr Politician", baada ya kukaa kimya kwa mda mrefu ameachia kibao kinachoitwa “Utu uzima dawa”

Nakaaya ambaye kwa sasa ni mjamzito wa miezi kadhaa kwenye wimbo wake mpya amemshirikisha producer Dunga na umetengenezwa chini ya producer Lamar, maarufu kama “Fish Crab”

Pia hakupenda kuweka wazi baba wa mtoto wake mtarajiwa ila alisistiza kuwa siyo wa mtu maarufu bali alisema huku akichek ni wa mtakatifu.

Tunakutakiwa kila la kheri ujifungue salama.

No comments:

Post a Comment