Pages

Tuesday, April 16, 2013

MEYA WA ILALA JERRY SILAA ANOGESHA BONANZA LA STAKISHARI VETERANS LILILOFANYIKA STAKISHARI UKONGA


Mgeni Rasmi Mstahiki Meya wa Ilala, Jerry Silaa akiongea na timu na mashabiki waliofika kwenye bonanza 
Mstahiki Meya Jerry Silaa akigawa jezi na mipira kwa baadhi ya timu zilizoshiriki bonanza
Diwani wa Kata ya Kipawa Mh. Bonna Kaluwa akigawa jezi na mipira kwa timu zilizoshiriki bonanza la Stakishari Veterans
Mgeni Rasmi Mstahiki Meya wa Ilala Jerry Silaa akijiandaa kupiga penalti kuashiria ufunguzi wa bonanza lililofanyika kwenye viwanja vya stakishari kata ya Gongolamboto
Jerry Silaa, Mstahiki Meya wa Ilala akipongezwa na golikipa baada ya kufunga goli kuashiria uzinduzi wa bonanza
Mgeni Rasmi Mstahiki Meya aliyevaa miwani akiwa pamoja na viongozi na wachezaji wa Stakishari Veterans FC baada 

















No comments:

Post a Comment