Pages

Tuesday, April 23, 2013

MANCHESTER UNITED 3 v ASTON VILLA 0, HAT-TRICK YA RVP KUWAPATIA UNITED KOMBE KWA MARA YA 20!!

Ligi kuu ya soka nchini England imeendelea tena jumatatu ya leo kwa mchezo mmoja kati ya Manchester United watakaokuwa nyumbani kwenye uwanja wa Old Traford kwa kuwakaribisha Aston Villa, Mchezaji wao matata Robin van Persie akifunga bao la mapema dakika ya 2 na kuongeza jingine dakika ya 13 na kukosa bao la wazi kwa kupiga basi juu ya mwamba dakika ya 4.
Kwa ushirikiano safi wa Rooney na Kagawa wanaimarisha safu yao na kusongesha mpira mbele, huku Kagawa na Giggs wakisababisha United kupata bao la tatu dakika ya 33 baada ya RVP kupewa pasi na Ryan Giggs na kuziona nyavu na kutupilia bao lake la 24 kwa msimu huu ambao unaelekea ukingoni. 

Kocha wa Aston Villa Paul Lambert na kocha wa Manchester United manager Sir Alex Ferguson wakisalimiana kabla ya mtanange kuanza usiku huu.

Robin van Persie akiwafungulia bao la kwanza Manchester United na kufanya 1-0 Old Trafford

Robin Van Persie akishangilia katikati ni Rafael That's why they're champions: Van Persie's hat-trick included an absolute screamer

Robin van Persieakitupia bao la 2 na kufanya 2-0 dakika ya 13 ya mchezo kwenye uwanja wa nyumbani Old Trafford na kujihakikishia kuja kunyakuwa kiatuVan Persia akiachia shuti kali na kufunga bao la 2 dakika ya 13

Mchezaji wa Aston Villa Gabriel Agbonlahor akichuana na Rafael

Nipishe wewe.....nisikubabue...

Van Persie akishangilia na kumkumbatia Wayne Rooney baada ya kumpigia pasi safi na kufunga bao dhidi ya Aston Villa leo kwenye uwanja wa Old Trafford.

Kocha wa Aston Villa Paul Lambertakiwabwatukia wachezaji wake kuimarisha ulinzi nyuma baada ya kuchapwa bao la tatu

Sir Alex Ferguson akijipongeza ndani ya Old Trafford usiku huu

Mheshimiwa Glazers naye alikuwepo ndani kuangalia mtanange huo unavyokwenda Old Trafford.
Still got it: United's veteran midfielder Ryan Giggs attempts to out-run Villa's Matthew Lowton
veteran midfielder wa United Ryan Giggs akipigwa kiwiko na Matthew Lowton
Getting shirty: Villa's Joe Bennett pulls on the shirt of United's Rafael
Mchezaji wa Aston Villa Joe Bennett akimvuta shati Rafael
What goes up... Aston Villa's Nathan Baker leaps for a challenge with United's Shinji Kagawa
Nathan Baker akichuana juu ya mgongo wa Shinji KagawaParading the touchline: Both managers were active in guiding their teams in the second halfKocha wa United Sir Alex Ferguson kushoto akiwasisitiza wachezaji wake kuwa makini.
Kipindi cha pili pamoja na timu zote kucheza kwa kujilinda hakuna timu iliweza kumfunga mwenzake mpaka dakika 90 zinaishilila.
Ushindi huu wa United unawaweka kileleni zaidi kwa kupata alama 84 juu ya City wenye alama 68, Huku Aston Villa ikishushwa hadi nafasi ya 17 wakiwa na alama 34.
Three and easy: Robin van Persie netted a hat-trick in United's win
Robin van Persie akishangilia hat-trick yake!! kulia ni Veteran Ryan Giggs..
Making the difference: Van Persie netted 24 goals in the Premier League this season
Van Persie akishangilia bao lake la 24 kwa msimu huu unaishilia ukingoni.
Nightmare start: Aston Villa manager Paul Lambert took his side in 3-0 down at half-time
Kimenuka.... bosi wa Aston Villa Paul Lambert akijionea bao 3-0 kabla ya mapumziko.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Rafael, Evra,  Jones, Evans, Valencia, Giggs, Carrick, Kagawa, Rooney (Welbeck 72), Van Persie
Subs not used: Lindegaard, Ferdinand, Buttner, Nani, Cleverley, Hernandez
Booked: Evra
Goals: Van Persie 2, 12, 33
Aston Villa: Guzan, Vlaar, Bennett (Clark 80), Baker, Lowton, N'Zogbia (El Ahmadi 46), Westwood, Delph, Agbonlahor, Benteke, Weimann
Subs not used: Given, El Ahmadi, Holman, Sylla, Bent, Bowery
Referee: Taylor
Attendance: 75,591

No comments:

Post a Comment