Pages

Tuesday, April 9, 2013

MANCHESTER CITY ILIVYOIGARAGAZA MAN UNITED JANA,

Timu zote mbili zilianza kwa kukamiana sana kila timu ikitaka kumfunga mwenzake.Timu ya City ikifanya mashambulizi zaidi ya United. Dakika ya 29 mchezaji wa Manchester City David Silva akaunawa mpira kwa kujificha na mwamuzi Mike Dean akamwona na kumpa kadi ya njano. 

Dakika ya 42 Vicenty Kompany akamfanyia ndivyo sivyo Ashley Young na kupewa nae kadi ya njano. kipindi cha pili kuingia dakika ya 51 mchezaji wa City Milner akaipatia bao City baada ya Ryan Giggs kurudisha mpira nyuma kwa pasi hewa.  Dakika ya 59 mchezaji Phill Jones anaipatia bao Manchester United na kusawazisha baada ya Rvp kupiga mpira wa pigo kubwa yaani direct free kick hadi golini. Patashika inatokea kati ya Jones kupiga kichwa na mpira unamgonga Kompany kuishilia nyavuni na kuwa 1-1. Dakika ya 78 United wakazidiwa nguvu na mchezaji kutoka benchi Aguero na hatimaye  akawachoma bao la pili na kufanya 1-2 dhidi ya United, bukobasports.com yashuhudia mtanange huo usiku huu.
Kocha wa City Mancini na kocha wa United Ferguson wakisalimiana kabla ya mtanange usiku huu.
Welbeck akiachia shuti kali kujaribu kufunga

Mchezaji wa United Patrice Evra akipiga mpira kwa kichwa juu James Milner to a header

Van Persie akiachia shuti kali na hatimaye mchezaji Kompany kuzuia shuti hiloVan Persie na Kompany wakichuana vikali uwanjani old Trafford usiku huu.
James Milner gave Man City the lead in the second half of their game against Man UnitedMilner na Ryan Giggs kwenye patashika
Outnumbered: Tevez finds himself surrounded by United players
Hapa hupiti hata ukizunguka....mchezaji wa City Tevez akiwa amezungukwa na wachezaji wa United
Bad Kompany: Dean booked the City skipper in the first half
Kompany akionekana kwenye picha na refa Dean baada ya kupewa kadi ya njano
Noisy neighbours: City go wild as they celebrate Milner's strike
Wachezaji wa City wakimpongeza Milner
Blue moon rising: City celebrate Milner's opening goal
Wachezaji wa City wakimpongeza Milner baada ya kufunga bao la pili.
Stranded: Hart got nowhere near Van Persie's free-kick
Kipa wa City  Hart akidaka hewa baada ya frii kiki ya  Van Persie na Kompany kujifunga
Keeping up with the Jones: The United defender races away to celebrate after Kompany's own goal
Mchezaji Jones aliyesababisha bao la United kupatikana baada Kompany kujifunga akishangilia
Back to square one: City look dejected as United equalise
Kazi kweli kweli...Tumejifunga...
Kimbiza kimbiza ya Aguero ikazaa bao...
Stunner: Aguero celebrates his goal
Fantastc finish ...Aguero akishangilia bao lake la pili na la ushindi.
Mashabiki wa United wakiwa wamebeba bango lao(banner) kabla ya mtanange huo.

VIKOSI:
Man United: De Gea; Rafael, Ferdinand, Jones, Evra; Carrick, Giggs; Young (Kagawa 90+2), Rooney (Hernandez 85), Welbeck (Valencia 80); Van Persie.
Subs not used: Lindegaard, Nani, Cleverley, Buttner.
Booked: Rooney, Rafael, Valencia. 
Goal: Kompany (OG) 59.
Man City: Hart; Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy; Y Toure, Barry; Milner, Silva (Lescott 89), Nasri (Aguero 71); Tevez (Javi Garcia 90+4).
Subs not used: Pantilimon, K Toure, Kolarov, Dzeko.
Booked: Silva, Kompany, Tevez, Barry, Zabaleta.
Goals: Milner 51, Aguero 78.
Referee: Mike Dean. 


MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU 5 ZA JUU
2012-2013 Barclays Premier League Table
Overall
Home
Away
POS
TEAMPWDLFA
WDLFA
WDLFA
GDPts
1Manchester United3125247133
14024017
11223116
3877
2Manchester City3119845727
11313511
8532216
3065
3Chelsea3117776133
10423513
7352620
2858
4Tottenham Hotspur3217785540
8532417
9253123
1558
5Arsenal3116876134
9333920
7542214
2756

MECHI 3 ZA MANCHESTER UNITED ZIJAZO 

Tarehe 14.4. 2013  - Stoke (A) Prem
            17.4.2013   - West Ham (A)  Prem
            22.4.2013   - Aston Villa (H)  Prem



MECHI 3 ZA MANCHESTER CITY ZIJAZO
Tarehe  14.4.2013  Chelsea (A)  FAC
             15.4.2013 West Brom (H) Prem (Umehairishwa)
             17.4.2013 Wigan (H)  Prem

No comments:

Post a Comment