Kama siku mbili tatu hizi mwanadada Lady Jay Dee (Jide) ambae anameachia kibao chake chaa Joto Hasira akiwa na Prof. Jay ameonekana akifunguka na kutoa ya moyoni, habari kubwa ikiwa na nyimbo zake kutopigwa na kituo flani cha radio, leo amefunguka zaidi na kutaja wasanii wawili ambao walikatazwa kufanya show Nyumbani Lounge sehemu ambayo inamilikiwa na Jide.
No comments:
Post a Comment