Pages

Tuesday, April 23, 2013

BAYERN MUNICH YAIFUNGA BARCELONA 4-0 UEFA CHAMPIONS

Ready to go: The players arrive on the pitch at the Allianz ArenaTimu zote mbili Bayern na Barca zikiwasili uwanjani Allianz Arena kujipanga kuanza mtanange usiku huu.
Bayern wakicheza vyema UEFA CHAMPIONS kwenye uwanja wao ndani ya Allianz Arena Mjini Munich Ujerumani leo Jumanne Aprili 23 kwa Mechi kati ya Bayern Munich na Barcelona kwenye mchezo wa kwanza wa Nusu fainali wameweza kufunga bao la kwanza kupitia mchezaji wao Thomas Muller dakika ya 25 na kuweza kumaliza kipindi cha kwanza wakiwa na bao 1-0 dhidi ya barcelona. Clash of the titans: Barcelona's Lionel Messi and Bayern Munich's Franck Ribery fight for the ball
Mchezaji matata wa Barcelona Lionel Messi na Franck Ribery wakichuana kugombea mpira usiku huu.

Kipindi cha pili kilipoanza Bayern kwa kufuata kanuni walizopewa na kocha wao za kupiga mpira wa chini wakafanikiwa kupata bao la pili kupitia mchezaji wao Mario Gomez dakika ya 49 na kufanya 2-0 dhidi ya Barcelona na pia Bayern kukosa mabao kadhaa ya wazi.
Aiming low: Bayern Munich's Arjen Robben sees a shot saved by Barcelona's Victor ValdesMchezaji wa Bayern Munich Arjen Robben akimwachia shuti kali kipa wa Barca Victor Valdes
Staying calm: Bayern Munich boss Jupp Heynckes watches on from the touchline
Kocha wa Bayern Munich  Jupp Heynckes akiangalia vijana wake wakisukuma ngozi uwanjani uwanjani kwao Allianz Arena usiku huku akiwasisitiza kucheza pasi za chini zaidi.
Breakthrough: Thomas Muller bundled Bayern Munich ahead
Mchezaji Thomas Muller akiwapatia bao Bayern Munich dakika ya 25
Breakthrough: Thomas Muller bundled Bayern Munich aheadMchezaji Thomas Muller wa Bayern akishangilia baada ya kuipatia bao na kuongoza kwa bao 1-0 dhidi ya Barcelona kwa kipindi cha kwanza. 
Reaching out: Bayern Munich's David Alaba attempts to block Pedro Rodriguez's cross
Mchezaji wa Bayern Munich David Alaba akikabwa na Pedro Rodriguez wa Barcelona.

Double trouble: Mario Gomez (right) scored Bayern Munich's second goal
Mario Gomez (kulia) akiwafungia  Bayern Munich bao la pili na kufanya 2-0 dhidi ya Barcelona


Double trouble: Mario Gomez (right) scored Bayern Munich's second goal
Dakika ya 49 anaitwa Mario Gomez akishangilia baada ya kuichinja Barca.
Bao ta tatu lilifungwa na Robben dakika ya 73 na la nne lilifungwa na Thomas Muller dakika ya 82





VIKOSI:
Bayern Munich: Neuer, Lahm, Boateng, Dante, Alaba, Javi Martinez, Schweinsteiger, Robben, Muller (Pizarro 83), Ribery (Shaqiri 89), Gomez (Luiz Gustavo 71).
Subs: Starke, Van Buyten, Rafinha, Tymoschuk.
Goal: Muller 25, 82, Gomez 49, Robben 73.
Barcelona: Valdes, Dani Alves, Pique, Bartra, Jordi Alba, Xavi, Busquets, Iniesta, Sanchez, Messi, Pedro (Villa 83).
Subs: Pinto, Fabregas, Villa, Thiago, Montoya, Abidal, Song.
Referee: Viktor Kassai (Hungary)


RATIBA/MATOKEO
NUSU FAINALI 

Jumanne Aprili 23 
Bayern Munich 4 v Barcelona 0

Jumatano Aprili 24 
Borussia Dortmund v Real Madrid

MARUDIANO
Jumanne Aprili 30 

Real Madrid v Borussia Dortmund
Jumatano Mei 1 
Barcelona v Bayern Munich

No comments:

Post a Comment